Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

UGONJWA WA VIRUSI VYA CORONA: COVID-19

Ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 ulianzia nchini China mwezi Desemba mwaka 2019 na tangu wakati huo umeenea kwenye mataifa zaidi ya 180 duniani. Ugonjwa huu ambao sasa shirika la afya duniani limeutaja kama janga la kimataifa, umesababisha vifo vya watu zaidi ya 180,000 na kuwa na athari kubwa kwenye mataifa yaliyoathirika.