Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

Wakati tunapoingilia kati 

MSF inafanya kazi katika nchi zaidi 70 duniani, ikitoa msaada wa matibabu ambako unahitajika zaidi.

Timu yetu inatibu mamilioni ya raia kila mwaka kutokana na mizozo, majanga ya asili, milipuko ya magonjwa na maeneo ambayo watu hawana uwezo wa kupata huduma za afya.

Wakati watu wanaweza kutufahamu zaidi pale tunapokuwa tumeenda katika maeneo yenye dharula kama vile Sunami na matetemeko ya ardhi, pia tunatoa misaada ya kibinadamu kupitia miradi, kwenye maeneo ambayo hayafahamiki duniani kote.

Tazama ripoti  ya MSF ya hivi karibuni