Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

MSF duniani

Timu ya wafanyakazi wa MSF inafanya kazi katika nchi zaidi ya 70 wakitoa msaada wa kuokoa maisha katika maeneo ambayo kuna uhitaji zaidi. Wafanyakazi wetu 39,000 wanafanya kazi katika maeneo yenye mizozo, milipuko ya magonjwa, wanafuatilia majanga na maeneo ambayo watu hawana uwezo wa kupata huduma za matibabu. Pamoja na kushughulia hali za dharula, tunatoa huduma kupitia miradi yetu ya muda mrefu katika maeneo ambayo watu hawawezi kupata huduma za afya.

Pata maelezo zaidi katika ripoti yetu ya 2018