Leo hii, eneo la Ulaya ni moja ya maeneo yaliyo na mifumo bora ya afya, linakabiliwa na hali mbaya kutokana na mlipuko wa COVID-19. Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka MSF, kwa sasa limepanua huduma zake nchini Italia, Hispania, Uswis, Ufaransa, Norway Ugiriki na Ubeligiji...
MSF linafanyia kazi kuanza kuzoea programu za kitabibu nchini Kenya ili kukabiliana na mlipuko wa COVID-19
Barua ya wazi kutoka kwa Pete Clausen, Mkurugenzi wa MSF nchini Tanzania.
Baada ya miongo kadhaa ya machafuko, mlipuko mkubwa za magonjwa ya utapia mlo, Malaria, surua na kipindupindu, inakadiriwa kuwa watu zaidi ya milioni 1.5 ambao hawana makazi kwenye jimbo la Borno, sasa wanakabiliwa na mlipuko wa COVID-19
Bei kubwa na ubinafsi utasababisha kuwepo kwa mgao wa dawa, majaribio na chanjoi, jambo ambalo litasababisha mlipuko huu kuendelea.
Kila mtu ameathirika kutoka na mlipuko wa COVID-19, lakini athari zake zinaweza kusikiwa kidogo lakini kwa wengine zaidi. Jonathan Whitthall anajadili ni namna gani mlipuko huu utawagusa watu walio katika mazingira magumu, na ni namna gani utaibua na kuweka wazi ubaya wa...
Isabelle Defourny, mkurugenzi wa operesheni wa MSF, hivi karibuni alikuwa nchini Bukina Faso na kueleza uhitaji mkubwa wa misaada ya kibinadamu ulipo nchini humo hasa katika maeneo yaliyoathirika na machafuko.
Idadi ya kesi za maambukizi nchini Ufaransa zinaendelea kuongezeka, mpango wa MSF utawalenga wale watu walio kwenye mazingira magumu kama vile wahamiaji, watu wasio na makazi na watoto wa mtaani.