Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

News

15/11/2019
  • Mlipuko wa kipindupindu umeikumba nchi ya Burundi na hasa katika jiji lake kuu Bujumbura ambalo lina wakaazi wengi.
  • Shukrani kwa huduma za haraka, kumekuwa hakuna vifo.​
  • Kituo kipya cha matibabu ya kipindupindu nchini Burundi kimefungua...
New Ebola Vaccine [Photo: Gabriella Bianchi/MSF]
13/11/2019

Katika kipindi cha majuma kadhaa, maandalizi ya kutolewa kwa chanjo mpya ya Ebola yameendelea kufanyika katika vituo viwili mjini Goma, na dozi 23,000 za chanjo aina ya Ad26.ZEBOV/MVA-BN-Filo zimewasili. Leo hii wizara ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...

Kidnapping of migrants has been for a while now a lucrative business for the criminal gangs operating in the Mexican northern cities bordering the US. [photo: Juan Carlos Tomasi]
30/10/2019

The policies of criminalisation, persecution, detention and deportation applied in Mexico in order to contain migratory flows to the northern border with the US have forced the migrant population to go underground and take increasingly dangerous routes where they are more...

MSF team during outreach in Turkana, Kenya following an outbreak of malaria - September 2019
05/10/2019

Zaidi ya watu 45,000 wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa malaria katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita kaunti ya Turkana, huu ukiwa ni moja kati ya milipuko mibaya zaidi kushuhudiwa kwenye kaunti hiyo tangu mwaka 2017.

Two-and-half year old Justin* receives his shot the investigational Ebola vaccine rVSV-ZEBOV,at a vaccination point set up in the community of Kimbangu in the city of Beni. [© Samuel Sieber/MSF ]
03/10/2019

 Mji wa Beni ni moja ya maeneo ambayo ni kitovu cha ugonjwa wa Ebola jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeanza hivi karibuni kusaidia shughuli za utoaji chanjo, kifaa muhimu katika vita dhidi...

26/09/2019

Upatikanaji wa dawa ya kuzuia sumu ya nyoka – sio tu dawa lakini dawa mahsusi kutibu aina ya sumu ya nyoka aliyemuuma mtu, ni tatizo sio tu kaunti ya Baringo, lakini kwenye mataifa mengi ya Afrika.

Na Edi Ferdinand ATTE,  Mratibu wa Matibabu, shirika la...

Alexis Huguet
23/09/2019

MSF inatoa wito wa kuundwa kwa kamati ya kimataifa na huru ili kufanya tathmini na kupanua wigo wa mpango uliopo na kuhusishwa na usambazaji wa chanjo kwa uwazi.

Nicole Niyoyankunze, an MSF health promotion worker, raises awareness among carpenters in the Bwiza district, Bujumbura. [ Evrard Ngendakumana ]
12/09/2019

In Bujumbura, MSF staff treats about 2,000 patients every month in its trauma center “L’Arche de Kigobe”

Pages