Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

News

17/03/2020

Wakati Ulaya inakuwa kitovu cha maambukizi, MSF inatoa wito wa umoja na ushirikiano baina ya nchi wanachama, ili kusambaza vifaa tiba muhimu kwenye maeneo ambayo yana uhitaji mkubwa.

MSF has started an intervention for the outbreak of COVID-19
14/03/2020

Mlipuko wa COVID-19 tayari umesambaa katika nchi zaidi ya 100 duniani. Nchi hizi zinajumuisha mataifa ambayo mifumo yake ya afya sio thabiti pamoja na kwenye mikoa ambayo uwezo wake ni mkubwa lakini maambukizi yako kwa kiwango cha kuhatarisha. Ni maswali gani ambayo MSF...

Lesbos and Samos
13/03/2020

Duniani kote serikali zinafuta matukio na kuzuia mikusanyiko mikubwa ya watu, lakini katika kisiwa cha Ugiriki ambako kuna makambi, watu hawana uchaguzi lakini kuishi huko. Afya zao ziko hatarini.

Rotation 7- Ocean Viking - Disembarkation Pozzallo, Sicily
12/03/2020

Tunatoa msaada unaohitajika kwa watu na wafanyakazi wa afya wanaojitolea kukabiliana na mlipuko, ili kuwahudumia wagonjwa.

MSF health promotion session on novel coronavirus
17/02/2020

Vifaa kinga maalumu kutoka shirika la Madaktari Wasio na Mipaka viko njiani kwenda kwenye mji wa Wuhan Jinyintan ambako kuna hospitali kwenye jimbo la Hubei, mji wa China ambao ndio ulikuwa kitovu cha mlipuko wa sasa wa COVID-19.

Villagers surrounded by water & stranded in a shrinking area of dry land
05/12/2019

Kim Phillips, mratibu wa masuala ya ugavi wa MDF nchini Sudan Kusini

MSF in Galkayo, Somalia
20/11/2019

Maeneo ya kusini na katikati mwa nchi ya Somalia yanashuhudia madhara makubwa yaliyotokana na mafuriko ambayo mpaka sasa yamewafanya mamia kwa maelfu ya raia kukimbia nyumba zao hali iliyosababisha janga la kibinadamu. Lakini hata kabla ya kutokea kwa mafuriko, wananchi wa...

Dadaab Overview
18/11/2019

Wakimbizi wa Dadaab watoa wito wa utu.

Pages