Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

News

An MSF staff conducts pre-screening antenatal consultations at the Mrima Health Centre.
26/08/2019

Simulizi hii ya wanawake watatu inaonesha mafanikio na changamoto ya kupanua wigo wa huduma kuhusu afya ya uzazi kwenye mkoa wa Likoni, pwani ya Kenya. Kupunguza vifo vya mama na mtoto ni kitovu katika kufikia lengo endelevu la umoja wa Mataifa kuhusu afya. Juhudi za...

Health workers putting on their personal protective equipment (PPE) before entering in the red zone of the ETC in Butembo, DRC
01/08/2019

Mlipuko wa ugonjwa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ukiingia mwaka wa pili, ni lazima  tutafute cha kufanya ili kuhakikisha mlipuko wa ugonjwa huu unamalizika.

Ocean Viking [ © Sandy McKee/MSF]
22/07/2019

MSF yaanza tena operesheni za utafutaji na uokoaji wakati huu hali mbaya ikishuhudiwa nchini Libya na nchi za Ulaya kushindwa kuchukua hatua.

People queue at the entrance of an MSF mobile clinic held in a health post in Banko Baya town, Guji, in Ethiopia’s Oromia region. [ © Igor Barbero / MSF]
14/07/2019

Maelfu ya watu wamekuwa wakienda mbele na kurudi kati ya maeneo ya Gedeo na Guji, kusini mwa Ethiopia katika kipindi cha miezi 15, na hii ni kutokana na vurugu za kikabila za mwezi April 2018 na juhudi za mara kadhaa za mamlaka kujaribu kuwahamisha

15/06/2019

Timu ya MSF inaisaidia wizara ya afya ya Uganda kukabiliana na mlipuko wa Ebola nchini Uganda, ambapo watu watatu kutoka kwenye familia moja wamekufa.

Pages