Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

Fanya kazi na MSF katika ofisi ya Nairobi


Wairimu Gitau/ MSF

Asante kwa azma yako ya kutaka kufanya kazi na Médecins Sans Frontières/Madaktari Wasio Na Mipaka (MSF). Samahani, kwa sasa hakuna nafasi ya kazi kwenye ofisi ya Nairobi. Wawaza kurejea baadae na kufwatilia kama kuna nafasi ya kazi kwa miezi zijazo.

Jinsi ya kuomba kazi ya ofisi ya Nairobi

Ikiwa kuna nafasi ya kazi, unahitajika kutuma barua ya kuomba kazi ukitumia barua pepe kabla tarehe maalum ya mwisho.

Tunapeana nafasi sawa

MSF inapeana nafasi sawa kwa wanaoomba kazi. Barua zote za kuomba kazi zitaangaliwa na kulinganishwa na mahitaji ya kila aina ya kazi bila kubagua jinsia, nchi, ulikotoka, dini au ushirikiano ya kisiasa na kadhalika.

Ikiwa hujapata nafasi ya kazi inayokufaa, bado unaweza kuchangia kazi na MSF. Unaweza kuhudhuria matukio yetu, kujiunga na jarida yetu, au kutufuata kwenye mitandao ya kijamii ili uweze kujifahamisha na shughuli na kazi za MSF.