Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

Kuwa mshirika wa MSF

Kila mtu ambaye anaichangia MSF anafanya iwezekane kwetu sisi kutoa huduma kwa mamilioni ya watu, kuendesha operesheni zetu, utoaji chanjo na matibabu. Tofauti na mashirika mengine, hatufanyi kazi kupitia ushirikiano na taasisi nyingine, hivyo basi wafadhili wetu wanaweza kutuamini na fedha zao na kwamba fedha wanazochangia kwa MSF zinatumiwa na MSF.

Ikiwa unapenda kuungana na mamilioni ya watu duniani ambao wanatusaidia kufanya kazi yetu kuwa rahisi, unaweza kuichangia MSF hapa:  donate.msf.or.ke/

Ikiwa utapenda kusikia zaidi kuhusu kazi zetu, tafadhali jisajili ili uwe unapata nakala ya jarida letu hapa: