Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

Wapi tunafanya kazi

  AHMED A. OSMAN/MSF

Timu ya wafanyakazi wa MSF inafanya kazi katika nchi zaidi ya 65 wakitoa msaada wa kuokoa maisha katika maeneo ambayo kuna uhitaji zaidi. Wafanyakazi wetu 30,000 wanafanya kazi katika maeneo yenye mizozo, milipuko ya magonjwa, wanafuatilia majanga na maeneo ambayo watu hawana uwezo wa kupata huduma za matibabu. Pamoja na kushughulia hali za dharula, tunatoa huduma kupitia miradi yetu ya muda mrefu katika maeneo ambayo watu hawawezi kupata huduma za afya.

Ethiopia: Tigray Crisis

People have been left without healthcare and tens of thousands have been displaced across Ethiopia and Sudan, following fighting that broke out in the Tigray region of northern Ethiopia, in November 2020.

MSF teams are working on both sides of the border, providing assistance to people in refugees camps in Sudan, and to the displaced and host communities within Tigray in Ethiopia.

 Find out more