Skip to main content

Newsletter block in header

prev
next

You are here

Unavutiwa kutoa msaada kwa MSF kuendesha miradi yake?

Kila mwaka zaidi ya wafanyakazi wa kimataifa 3,800 wanaunganisha nguvu na ujuzi kuungana na wafanyakazi wengine 39,000 kutoka nchi ambazo tunafanya kazi kutoa huduma za matibabu kwa wale wanahitaji zaidi.  

Wafanyakazi wetu wanafanya kazi katika maeneo yenye mizozo na milipuko ya magonjwa, kufuatilia majanga ya asili na mazingira yenye changamoto, lakini tuzo yake haina kifani. 

 Tunahitaji madaktari na watu ambao sio madaktari ili kuifanya kazi yetu kuwa rahisi zaidi. Je unafikiria unao uwezo? Tazama zaidi ni akina nani tunawatafuta ,miiko ya kazi na namna ya kuomba kazi hapa chini. 

Tenders

Sorry, there are currently no vacancies available

MSF is an equal opportunity employer and does not charge any application, recruitment, medical examination or training fees.