25/03/2020
Kila mtu ameathirika kutoka na mlipuko wa COVID-19, lakini athari zake zinaweza kusikiwa kidogo lakini kwa wengine zaidi. Jonathan Whitthall anajadili ni namna gani mlipuko huu utawagusa watu walio katika mazingira magumu, na ni namna gani utaibua na kuweka wazi ubaya wa sera...